Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
21083780_920693131403309_5146930997861606767_o.jpg

Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini

Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu Shooting, mishale ya saa 10

Nitakuletea kila kitu hapa JF. Usiondoke

Updates
HT: Simba 5 Ruvu 0
Emanuel "Hatrik" Okwi 3, Kichuya 1, Luzio 1

Updates
Simba 6 Ruvu 0.......Okwi apiga nne

Updates
Niyonzima anatoka anaingia Mo
Mzamiru anatoka anaingia Said Ndemla
Mwanjali anatoka anaingia Juuko,

More Updates
Simba Wiki(Shule ya Msingi)- Ruvu 0, Nyoni 82'

Mpira umekwishaaaaaaaaaa
Simba wanampiga mtu wiki,Okwi akipiga goli nne,amekabidhiwa mpira wake

Video

Magoli yote 7 ya Simba

Huyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga

Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende Azam, Yanga hana nafasi tena. Mkude, Okwi, Niyonzima mwisho wao Chalinze huku mjini ni Tshishimbi tu.

Naitakia kila la heri Ruvu Shooting Stars.
 
Aende Azam, Yanga hana nafasi tena. Mkude, Okwi, Niyonzima mwisho wao Chalinze huku mjini ni Tshishimbi tu.

Naitakia kila la heri Ruvu Shooting Stars.
Chini unamchesha tshishimbi&Mkude kisha kamusoko juu

Amini umiliki wa mpira wa yanga utakuwa juu sana ,mkude mtamu sana ila simba wanamuharibu huyu fundi
 
Naipenda simba jamani mpaka raha!!

Dont settle for less
 
Huyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga

Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkude anaugomvi na uongozi baada ya kuvujisha habari za simba kupigwa 7-0 huko south africa, ndiyo maana amepokonywa up captain wa timu
 
Eti kikosi cha 1.3bilion wakati kimejaa wahenga watupu na ni kibovu kuliko hata cha simba kidz, nyambaf kabisa mishabiki ya simba, yaani mnadanganywa kama watoto wadogo!
 
Acheni jamani huyu Okwi anayesemwa kuwa ni Mhenga? Kweli uzee dawa.
 
Vitendo dhidi ya maneno (Okwi)

SIMBA SSC NGUVU MOJA!
 
Back
Top Bottom