Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Historia ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?

Hongereni matopeni
Wewe Mhenga pole
 
Ruvu alipiga Yanga 1
 
dah
 
Sasa unakimbia wapi? Tulia uone kandanda la kimataifa.... Uhenga dawa ati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
 
Dah, mnyamaaaaaaaaaa!
Alafu ndo gia namba moja! Nazionea huruma timu zingine. Simba ina vikosi vitatu vyote vikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…