Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Sabaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo safiKweli mkuu,hapa sio mahali pa kupigana mabomu,tucheki Okw anavyopiga 5
Wewe Mhenga poleHistoria ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?
Hongereni matopeni
Ruvu alipiga Yanga 1Historia ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?
Hongereni matopeni
Nasubiri Okwi apige 5
Pole wape akina Bwire. Mmenunua Shs ngapiWewe Mhenga pole
dahHistoria ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?
Hongereni matopeni
Sasa unakimbia wapi? Tulia uone kandanda la kimataifa.... Uhenga dawa atiHistoria ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?
Hongereni matopeni
Mlikuwa na msimu wa Malinzi mkajiona Wakimataifa hahahaPole wape akina Bwire. Mmenunua Shs ngapi