Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba hii si ya mchezo... Yanga wapambane na mechi zao
 
Ulitaka amuweke nani benchi kati ya walioanza?
Mkude ni mzuri kwa kusubiri mbele Kotei na Mzamiru.
Nd'o maana ya kuwa na kikosi kipana.
Atacheza tu . Mechi ni nyingi na pia kuna mambo cards , injuries na sababu za kijamii. Tuache kusema eti alimkosea nini Omog?
Muhimu timu ishinde ; wote wapo kuisaidia Simba ishinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mw

Mwaka wa tano the same old story. Start very promising and end up going to FIFA asking for free points.
Ligi ni mbio za marathon. Sijui nani apenywa Chuma mwisho wa msimu!

Pengine ni shabiki mpya wa klabu ya Simba huyo.....

Wanaoijua klabu yao 'akina Sembo wanasikilizia upepo vyema kabla ya kuanza kuleta tambo na majigambo.
 
Duh!! Kikukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…