Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba hii si ya mchezo... Yanga wapambane na mechi zao
 
Huyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga

Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka amuweke nani benchi kati ya walioanza?
Mkude ni mzuri kwa kusubiri mbele Kotei na Mzamiru.
Nd'o maana ya kuwa na kikosi kipana.
Atacheza tu . Mechi ni nyingi na pia kuna mambo cards , injuries na sababu za kijamii. Tuache kusema eti alimkosea nini Omog?
Muhimu timu ishinde ; wote wapo kuisaidia Simba ishinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mw

Mwaka wa tano the same old story. Start very promising and end up going to FIFA asking for free points.
Ligi ni mbio za marathon. Sijui nani apenywa Chuma mwisho wa msimu!

Pengine ni shabiki mpya wa klabu ya Simba huyo.....

Wanaoijua klabu yao 'akina Sembo wanasikilizia upepo vyema kabla ya kuanza kuleta tambo na majigambo.
 
Kikuku cha Tshishimbi chazua jambo uwanjani
Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.

pic+kikuku.gif


BY Thomas Ngitu



IN SUMMARY

  • Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.


Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.

Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.

Kiungo huyo Mkongo alichelewa kujiunga na Yanga kutokana na matatizo yake ya kupata viza, hata kibari chake cha kuanza kuichezea Yanga kilipatikana leo asubuhi.

ADVERTISEMENT



This page might use cookies if your analytics vendor require
Duh!! Kikukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom