Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wa tano the same old story. Start very promising and end up going to FIFA asking for free points.
♨Simba Sp⚽rts Club♨wakuu
naombeni msaada kama kuna mtu ana taarifa zozote za kundi la Simba watsap nahitaji kujiunga tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka amuweke nani benchi kati ya walioanza?Huyu mkude alimfanyia nini Omog hakika kwa uwezo wake sio wa kusugua bench kuanzia pre season mpaka saizi ,Mkude akitaka aitwe timu ya taifa tena namshauri dirisha dogo atimkie Azam au yanga
Masau namsubiria saa moja akitoa majigambo zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli Saba kwa Bwire pungufu itawapa kiburi ili mbele waanguke vizuri
Mkuu usishangae, Ruvu original wako Rwanda kwenye michezo ya majeshi.Ruvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Na kile kikuku mguuni lazima upate raha.
Mw
Mwaka wa tano the same old story. Start very promising and end up going to FIFA asking for free points.
Ligi ni mbio za marathon. Sijui nani apenywa Chuma mwisho wa msimu!
Duh!! KikukuuKikuku cha Tshishimbi chazua jambo uwanjani
Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
![]()
BY Thomas Ngitu
IN SUMMARY
- Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo huyo Mkongo alichelewa kujiunga na Yanga kutokana na matatizo yake ya kupata viza, hata kibari chake cha kuanza kuichezea Yanga kilipatikana leo asubuhi.
ADVERTISEMENT
This page might use cookies if your analytics vendor require