OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
Okwwwwwwwwwwwwwiiiii 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hivi rais na makamu wanaangalia gemu?View attachment 575354
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini
Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu Shooting, mishale ya saa 10
Nitakuletea kila kitu hapa JF. Usiondoke
Updates
HT: Simba 5 Ruvu 0
Emanuel "Hatrik" Okwi 3, Kichuya 1, Luzio 1
mna mbwembwe msimu huu daawakuu
naombeni msaada kama kuna mtu ana taarifa zozote za kundi la Simba watsap nahitaji kujiunga tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni Yanga,vitu kana hivi anakuwa mpoleSipati piche leo Hemed Kivuyo wa ITV atakavyotangaza
Manji yeye yuko wapiSijaelewa hivi rais na makamu wanaangalia gemu?
Kwani The Bold amesha achiwa huru..??
Nini wewe usianze kuchokozanaWe jamaa
Ni shidaImanuel Muhenga Hatriki Okwiiiiiiiiiiiiiiiii haya yalikuwa magoli ya Yanga
Kweli mkuu,hapa sio mahali pa kupigana mabomu,tucheki Okw anavyopiga 5Nini wewe usianze kuchokozana
hapa sio mahala pake