Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

View attachment 575354
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini

Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu Shooting, mishale ya saa 10

Nitakuletea kila kitu hapa JF. Usiondoke

Updates
HT: Simba 5 Ruvu 0
Emanuel "Hatrik" Okwi 3, Kichuya 1, Luzio 1
Sijaelewa hivi rais na makamu wanaangalia gemu?
 
Historia ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?

Hongereni matopeni
 
Back
Top Bottom