barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ishu ni squad la simba.Ruvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ni squad la simba.Ruvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Gongo wazi mligongeshwa 1 bila na masau bwire hivi karibuni ujueeRuvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Tatizo hapa ni Simba,hizi saba hata Yanga anaweza kupigwa na mnyamaRuvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Heshima haijawahi kuondoka msimbaziYani tuwapige hata kumi heshima irudi msimbazi
Wanaangalia na Manji na MalinziSijaelewa hivi rais na makamu wanaangalia gemu?
Chuma cha moto kimekupenyaHistoria ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?
Hongereni matopeni
Akili za ccm kila sehem ni ubashiteMlikuwa na msimu wa Malinzi mkajiona Wakimataifa hahaha
full Mbeleko
Ngoja tuone kwa sasa hakuna Mbeleko ni uwezo tu
Mnachonishangaza kaburu na aveva mshawatosa ambao wapo ndani km viongozi wa simba ila mnajifanya km sio viongozi wenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba punguzeni sifa za kijinga
Ila ni kweli huo muda inabidi tukeshe tuweke alarm zote za simu na magari ili tuepuke kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende Azam, Yanga hana nafasi tena. Mkude, Okwi, Niyonzima mwisho wao Chalinze huku mjini ni Tshishimbi tu.
Naitakia kila la heri Ruvu Shooting Stars.
Hujielewi.Chini unamchesha tshishimbi&Mkude kisha kamusoko juu
Amini umiliki wa mpira wa yanga utakuwa juu sana ,mkude mtamu sana ila simba wanamuharibu huyu fundi