Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

Ruvu Shooting msimu uliopita alibakaje ligi kuu? Hata Misosi Fc ya Tandale haiwezi kupigwa 7
Gongo wazi mligongeshwa 1 bila na masau bwire hivi karibuni ujuee

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Aungurumapo Simba ...............................!!!!
 
Historia ni hiyo hiyo kila mwanzo wa msimu. Simba na huanza na moto wa mabua au baiskeli ya udongo.
Sikuamimi HT goli tano zikiwemo za offside dhahiri. Ikabidi niondoke uwanjani. Hii kweli ni Ruvu iliyocheza na Yanga Chamazi?

Hongereni matopeni
Chuma cha moto kimekupenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo7.jpg
 
jamani simba ndo timu bora kwa sasa duniani,ikifuatiwa na simba kids,mpaka raha!!

Dont settle for less
 
Back
Top Bottom