Simba SC yaibuka kidedea kura za CAF

Simba SC yaibuka kidedea kura za CAF

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Katika ukurasa wao rasmi wa twitter

Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) Waliendesha zoezi la kura kujua ipi ni team giant inayovaa jezi nyekundu kwenye Bara hili la Africa.

Matokeo yametolewa na Klabu ya Simba imeibuka kidedea kwa kupigiwa kura nyingi zaidi.

IMG-20200826-WA0030.jpg
 
Simba, mashabiki wenu wameiba simu za Barbara msaidizi wa Mwamedi ili kumshinikiza Mwamedi aweke billion 2 kwenye account ya Simba.
Mwamedi mwenyewe saa hizi kafilisika, kashindwa kumlipa kinyozi wake wa nyumbani, ña kuiingia kwenye saluni zetu hawezi kaona Bora tu ajifugie midevu ka Mtaleban
Uchawi ni matendo
 
Bujibuji anabubujika povu😂
 
Wewe ni hasara tupu kwenye hili taifa.
 
Simba, mashabiki wenu wameiba simu za Barbara msaidizi wa Mwamedi ili kumshinikiza Mwamedi aweke billion 2 kwenye account ya Simba.
Mwamedi mwenyewe saa hizi kafilisika, kashindwa kumlipa kinyozi wake wa nyumbani, ña kuiingia kwenye saluni zetu hawezi kaona Bora tu ajifugie midevu ka Mtaleban

ushubwada kabisa [emoji2955]
 
Manyani na jamii zake wataigongea like hii post yako mpaka uombe poo...

Hapa ni kama umeyarushia ndizi mbivu
 
Simba, mashabiki wenu wameiba simu za Barbara msaidizi wa Mwamedi ili kumshinikiza Mwamedi aweke billion 2 kwenye account ya Simba.
Mwamedi mwenyewe saa hizi kafilisika, kashindwa kumlipa kinyozi wake wa nyumbani, ña kuiingia kwenye saluni zetu hawezi kaona Bora tu ajifugie midevu ka Mtaleban
Utakuta mtu kama huyu naye anategemewa
 
Simba ni ya kimataifa zaidi.wakati utopolo wakinga'ng'aniza kupambana na Simba.
Simba kama Simba inapambana na kina Alhaly,Esperence,Enyimba,Mazembe n,k.
 
Kama suala ni kupambana tu hata Singida alipambana lakini unyonge ukamzidi.
 
Back
Top Bottom