Wanatupa kitu ambacho kitaalam kinaitwa Guard of HonourTarehe 29 mnatukabizi kombe.
Hahaaa. Ila sio rahisi ujue.Tarehe 29 mnatukabizi kombe.
Niambie Mitulinga FC. Nipe matokea ya Singida United. Nasikia walizungushia ukuta.. Bwihi [emoji1] [emoji1] [emoji1]Manara FC....
Yule jamaa aliyeanzisha Uzi ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo
Wanatupa kitu ambacho kitaalam kinaitwa Guard of Honour
Usiseme ngapi ngapi uliza Simba kachapa ngapi,alaaaaaaYule jamaa aliyeanzisha Uzi ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo
Uzuri wake umeujuaje mke?kumbe kweli "si kila kinga'aacho ni dhahabu" sikutegemea dada mzuri kama wewe unakuwa na roho mbaya kiasi hicho. kwa nini lakini?
We jamaa watakutekaOkwi goli 18. Bocco goli 13. Kwasi goli 8. Hawa kama Tanzanite, wazungushiwe ukuta kuwalinda.
Mkuu yanga 5-0 MCCYaani ile SIMBA iliyocheza na ALMASRY watu wote waliiona halafu mtu anakwambi kila la kheri Mbeya city tena uwanja wa Taifa.
Duuuh ni halali Lwandamina awakimbie
Mkuu yanga 5-0 MCC
Simba 3-1mcc
Usiangalie sana hayo mambo Mpira ni mchezo wa maajabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile SIMBA iliyocheza na ALMASRY watu wote waliiona halafu mtu anakwambi kila la kheri Mbeya city tena uwanja wa Taifa.
Duuuh ni halali Lwandamina awakimbie
Mkuu simba 4-singida0Mkuu yanga 5-0 MCC
Simba 3-1mcc
Usiangalie sana hayo mambo Mpira ni mchezo wa maajabu sana.