Simba SC yaingia fainali Kombe la Dunia, yapigwa

Simba SC yaingia fainali Kombe la Dunia, yapigwa

Tunazidi kujibebea makombe...
Kweli,hongereni
FB_IMG_16833918882272793.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_16833965383066072.jpg

Haya kombe lingine hilo 😅😅😅😅 .... Mwaka huu mmekuwa na makombe mengi sana. Mnaitafuta furaha kwa nguvu Ila furaha haiwataki.... Kolo wizadiiiii 😅😅👏
 
😭😭😭😭
Hebu nyamaza kwanza mzee mwenzangu, usiku huu majirani wasije wakajaa hapa wakajua kuna msiba, kumbe mtu analilia rungu kipepe. 😂🤣
Rungu haijatumika na hii hapa, kama una hamu nayo kaa stance nzuri tayari kwa mashambulizi.
 
Back
Top Bottom