Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
😂😂😂😂
Sanamu la Rage lini linaanza kutengenezwa? Dizaini kama architect anachelewa Mbumbumbu wa Rage tayari wanaelekea Mirembe now!
Mi nahesabu hili ni kombe la pili la kufa kiume mbumbumbu wanabeba, kolo fc si mchezo Kwa promo grade one huku kabatini kwao wanapoweka makombe vumbi limejaa!!
Mi nilitabiri Simba watakandwa Morocco na kuja kufukazana bongo nashangaa kumetulia tuliiii, Simba wote kimyaaaa, wameloa wameloaa, full stress na kujifariji tu! Kufa kiume si jambo dogo ujue!!
Namungo tu imewashinda sembuse Azam, jamaa Wana masifa watacheza kama Man City na kumchakaza mnyama! Leo natabiri Tena Azama wanamkanda mnyama na kufumua mshomo wa Wydad! Mi nimekaa palee, mbumbumbu fc mkishapigwa mje kushtaki!! Last time niliwaambia mkitoka Morocco mje kushtaki hamkuja nimemaindi kinoma!! Kawaida Huwa sipendi dharau!
Simba imebaki kuwa genge tu la wahuni hivi mwanaume unawezaje kushiriki ligi mia bila kombe hata moja! Tena ukiwa na udhamini mnono wa bilioni 800 Toka MBet!! Samahani kolokoloni , kuna ndondo cup inaitwa Mapinduzi Yanga tuliwaachia mbumbumbu fc mkachukua kwa kina Yakhe ATI!! Lile kombe Huwa halikuachi salama!!