Simba SC yaingia fainali Kombe la Dunia, yapigwa


Haya kombe lingine hilo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… .... Mwaka huu mmekuwa na makombe mengi sana. Mnaitafuta furaha kwa nguvu Ila furaha haiwataki.... Kolo wizadiiiii πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘
 
😭😭😭😭
Hebu nyamaza kwanza mzee mwenzangu, usiku huu majirani wasije wakajaa hapa wakajua kuna msiba, kumbe mtu analilia rungu kipepe. πŸ˜‚πŸ€£
Rungu haijatumika na hii hapa, kama una hamu nayo kaa stance nzuri tayari kwa mashambulizi.
 
Na.mlikomaa kupiga kura kwa kuipeleka timu yenu kusakata kabumbu welidi kapuuu?🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…