Simba SC yaingia makubaliano rasmi ya udhamini na kampuni ya SportPesa kwa kipindi cha miaka 5

Hii ni habari mbaya Zaidi Kuwahi Kutokea Kwa Wakali wa 4G....... 😀😀😀😀
 
Mwanzoni ilikua Yanga sema naona gia zimebadilikia angani
 

Baada ya kupewa ' adhabu ' ya kutojihusisha na mambo yoyote yale yahusuyo mpira na TFF halafu bado tena ' anakaidi ' hiyo hukumu kwa mbali sana naanza kuiona ' adhabu ' ya Msemaji wa Simba SC Haji Manara kupewa ' Kifungo ' Kikali na Kikubwa zaidi kama alichopewa ' Mbishi ' mwenzie Damas Ndumbaro.

Yangu macho!
 
Yanga tayari kitambo, kesho ndio inatangazwa. Hawawez kuwapa deal simba wakawaacha wakimataifa ili hali simba hana uhakika wowote wa kushiriki michuano ya kimataifa.
 
Huyu tarimba si alikua gaming board?kabla ya hapo Yanga?haha leo anawadhamini Simba.
Waangalia maslai yao kama Sportpesa watafaidikaje wakiwekeza kwa Simba, Tarimba ni mwakilishi wao hapa Tanzania inawezekana Simba walichangamkia deal mapema kuliko Yanga
 
Kesho Yanga...alafu na Singida United..Sportpesa watakua washakamilisha ujio wao Tanzania
 
Hii imekaa vizuri. Wafanye mabadiliko sasa katika timu
 
Yanga tayari kitambo, kesho ndio inatangazwa. Hawawez kuwapa deal simba wakawaacha wakimataifa ili hali simba hana uhakika wowote wa kushiriki michuano ya kimataifa.


Wewe Jitekenye tuuu Halafu ujicheke mwenyewe........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…