Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
NEEEMA KWA WA MCHANGANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna adui wa kudumu hata ktk soka hahahahahhHuyu tarimba si alikua gaming board?kabla ya hapo Yanga?haha leo anawadhamini Simba.
Wekendu wa msimbazi leo wameingia mkataba na kampuni ya kubetisha ya SPORTPESA kwa
ajili ya udhamini katika ligi kuu bara kuanzia msimu ujao.
Simba imeingia mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya shilingi bilioni 4.9 Ni mkataba mkubwa kupita mikataba yote ambayo Simba wamewahi kuisaini.
Hongereni wanaSimba
![]()
Migogoro itanza kila mtu anataka kulaNEEEMA KWA WA MCHANGANI
Mipango mibovu balaaVilabu vya simba n yanga wanapata hela ila haviendelei
Vilabu haviendelei ila viongozi ndio wanaendelea....Vilabu vya simba n yanga wanapata hela ila haviendelei
Kila mtu anajali tumbo lakeMipango mibovu balaa
Wamekua omba-omba wa pesa za kukomboa nyasi bandarini.Wao kazi kutegemea mtu mmoja hali inayopelekea kuwa Omba Omba FC.
ndio tatizo la soka la bongo mkuuMigogoro itanza kila mtu anataka kula
Waangalia maslai yao kama Sportpesa watafaidikaje wakiwekeza kwa Simba, Tarimba ni mwakilishi wao hapa Tanzania inawezekana Simba walichangamkia deal mapema kuliko YangaHuyu tarimba si alikua gaming board?kabla ya hapo Yanga?haha leo anawadhamini Simba.
Wapigaji wamejazana huko, wanawaza kupiga pesa tu, upigaji upigaji, kuanzia TFF hadi mchangani.Vilabu vya simba n yanga wanapata hela ila haviendelei
Yanga tayari kitambo, kesho ndio inatangazwa. Hawawez kuwapa deal simba wakawaacha wakimataifa ili hali simba hana uhakika wowote wa kushiriki michuano ya kimataifa.