Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

Ubora wa msimu kwa msimu kundi D lina team bora zipi? km Al ahly, belouzdad kushiriki mara kwa mara, hata asec na wydad hapo ni kwao.

Huna Pa kuchomokeaaa? Najua sanaa kinachokutatiza kukubalii.
Ila ndo hvyo ushakubalishwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee unazungumza nini wewe??
Yani ufananishe consistency ya Al ahly na Wydad??
Ufananishe consistency ya CR Belouzdad na Asec mimosa???
Huwezi kuwa serious.
Endelea kuwa shabiki wa simba.
Sawa mamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazunguka sana, simba ni bora, ukileta hoja ya kundi alilopo, na mie ntakuja kwenye kundi ulilopo na kufanya comparison baina ya hao opponents.

Na bado opponents wangu watakua juu zaidi ya wako. Afu kila mtu ashinde match zake, unaumia simba kutinga robo? Mbona hii sio habari na hata CAF wanajua.
Uko serious kweli😳😳😳.
Yani Asec ,wydad na Jwaneng wawe juu ya Al ahly,Cr belouzdad???
Au nkuletee takwimu??
Wacha nilete takwimu utata uishe.
 
Timu ina mpaka Wabunge wanacheza mpira halafu mnajisifu kuwafunga goals 6
 

Attachments

  • FB_IMG_17094586323292929.jpg
    FB_IMG_17094586323292929.jpg
    198 KB · Views: 1
Back
Top Bottom