Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

Kutoka kuongoza kwa tofauti ya points nane mpaka kufikia hatua ya kulilia points za mezani baada ya kupokea kichapo dhidi ya Kagera Suger hakika hii timi ya Simba inatia aibu
 
ukishaanza kuinginza ukabila ni dalili za kuishiwa hoja.....mi nadhani ishu ya mechi za kagera ipo wazi sana...kwani report za kamisaa na refaree wa hiyo michezo zinasemaje
 
Simba SC hatuna shabiki kama wewe.. Nenda kaendeshe harambee Ndala FC...!
 
shida yetu sisi ni ubingwa mwaka huu..tukishindwa uwanjani, mezani hata kwenye stuli tutachukua point.. yanga kaeni chini lipeni mishahara ya wachezaji wenu.....

mwaka wa tatu huu mnaenda nje ya nchi kutia aibu tuu..
 
Mkuu! Kama Bingwa wa Ligi anatia aibu itakuwaje kwetu sisi tunao tegemea Alama za Mezani...?

Simba inabidi tucheze mpira, hayo mengine tuwaachie Yanga SC.
 
Haaaaaahaaaaaaaa we yanga mwenzangu ni mnafki khatari naona unawaenjoy tu!
 
Kucheza mpira ni pamoja na kutumia sheria na kanuni zake tunaomba tu sheria na kanuni zifuatwe kwani taarifa ya kamisaa wa mchezo huo ilikuwa bado haijapokelewa TFF?na sheria inasemaje kuhusu muda gani taarifa yakamisaa inatakiwa kuwasilishwa kunakohusika baada ya mechi? Vinginevo TFF kuanza kuita watu kutoa ushahidi inaonesha ilivyo incompetent nadhani kama wangekuwa makini ilikuwa tu ni kuitisha taarifa ya kamisaa wa mchezo husika
 
Ushauri wa Bure tff ligi ya 2017/2018 ondoeni hiyo kanuni ya kukata rufaa,wekeni kanuni mtu akifungwa uwanjani imetoka hy..

Pia zengwe hili limegubikwa na uchaguzi wa tff wa agost 12,watu wanahofia nafasi zao za kamati tendaji na kamati za ulaji
 
Kutoka kuongoza kwa tofauti ya points nane mpaka kufikia hatua ya kulilia points za mezani baada ya kupokea kichapo dhidi ya Kagera Suger hakika hii timi ya Simba inatia aibu
Mkuu umesahau ile timu imetoka kuongoza moja walipofika kule wakatiwa nne mpaka kupoteana mpaka serikali kutaka kuhamia kwenye sanaa na waziri akasema hana taarifa kuwa wameenda wapi na walikombolewa na mkopo wa malinzi na asingekuwa yeye mngekaa huko mpaka mkome halafu walipotua tu taifa hawakutaka kupanda gari lile la ccm wakapotea kama upepo nadhani ndio aibu kubwa kuliko hii.
 
Hivi hao kagera wakipata hizo points wanaenda wapi?wanachukuwa kombe au?zote hizo ni FIGISU ZA MIDABWADA FC...aka PEREGE FC
 
Hivi hao kagera wakipata hizo points wanaenda wapi?wanachukuwa kombe au?zote hizo ni FIGISU ZA MIDABWADA FC...aka PEREGE FC
Issue co wanaenda wapi au wanachukua kombe gani issue hapa haki,taratibu na kanuni zifuatwe co kupewa pewa pints hovyo...!! Wao simba kama wana ushahidi wa kadi tatu hofu yenu nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…