Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Kumbe wahenga walimaliza waliponena akizidiwa hula nyasi!Simba walalilia point za mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wahenga walimaliza waliponena akizidiwa hula nyasi!Simba walalilia point za mezani
Mkuu haya madongo yako yataumiza watu aiseeee!! Eti Kombe siyo Hotpot???Mtakoma mwaka huu. Kombe sio hotpot hadi mchukulie mezani
Simba wa mezani haumi
Tulikuwa tunasubiri kuchokozwa ili tuwanyooshe vizuri. Si unaona sasa mkwara wetu Simba SC wa kuitisha Mkutano na Waandishi wa Habari umesababisha TFF watuogope na sasa nasikia wamehairisha tena Kikao cha kumjadili Fakhi na kuamua kuwa kwa sasa Simba SC ibaki na hizo points mpaka hapo watakapokutana tena. Mkuu Simba SC ni Chama lingine na kama TFF ya Jamal Malinzi na hao Watendaji wake wangeipokonya tu Simba SC points zake tungekinukisha CAF na FIFA madudu yote ya TFF ambayo bahati nzuri sana Watu wa ndani wa TFF na ambao pia ni Mnyama Mnyamani ( Wapenzi wa Simba wa Kufa Mtu ) wanayajua.
Sasa waambie Chura Churani ( Yanga FC ) wenzio kuwa watulize vipira vyao na waachane kabisa na Simba SC na wajikite sasa katika kuwalipa Mishahara Wachezaji wao na mmoja wapo leo Saa 5 nimemnunulia Chai ya jero maeneo ya Kariakoo na kainywa kwa pupa hadi kaungua Ulimi kwa njaa Kali na sidhani hata kama ataweza kufanya mazoezi.
Njaa zimewatawala tu mnang'ang'ania kushoboke mambo ya Mume wenu Simba SC. Na mwaka huu tuko radhi hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu kwa kufanya lolote ili mradi tu Simba SC tuwe Mabingwa. Tutaroga na tutahonga vibaya sana hadi Ndoo inyanyuliwe kudadadeki zenu Kandambili / Gongowazi nyie.
dBaada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!
Ulishaliwa kiboga wewe huko Kaitaba, tulia.Baada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi rasmi yakatolewa na Simba SC kupokwa points Uongozi wa Simba umeitisha mkutano wa haraka sana na Waandishi wa Habari katika wanachosema kuwa TFF, wana Kagera ( Wahaya ) na Yanga FC wameamua kumwaga Ugali sasa Simba SC wao wanaenda kumwaga Mboga, Maji ya kunawa, Chumvi, Pilipili ile tuheshimiane hapa mjini kama siyo nchini.
Mpira wa Bongo umeshaharibika leo ndiyo FIFA na CAF watayajua madudu yote ya Malinzi na Watu wake wa TFF.
Hongereni sana Simba SC kwa kuamua Kukinukisha na leo ndiyo leo!