Simba SC yaitisha mkutano na Waandishi wa Habari hivi punde

Yaani simba timu kubwa inalilia points za dezodezo haingii akilini...
Kwanini wasipambane uwanjani mpaka wasubir kukata rufaa poor simba hasa kwa tim kama kagera
Kwani mpaka Simba kuongoza ligi si kwa maana alikuwa anapambana uwanjani.. sasa la ajabu lipi ikiwa katika soka kuna sheria na kanuni zake ambazo lazima zitumike mojawapo ni sheria ya kadi

Endeleeni kuwa na sononeko la moyo
 
Nyie wa matopeni mpira,hamkai muweze izo points za watu rudisheni bhana...mnaogopa kukosa tena ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo?
 
Mimi ni SIMBA damu lakini namna ulivyowasilisha hoja halafu nikuunge mkono pasipo kukutandika za uso nitakuwa sijajitendea Haki. Simba na yanga ni timu za hovyo na zinaongozwa hovyo hovyo na viongozi tumbo.
Mnashindana kutuletea wachezaji wa nje vilaza halafu mnalalamika. Acha vitimu vya bara vyenye wachezaji wa ndani viwagaragaze. Inekera sana namna mnavyofanya usajili mbovu halafu mnategemea.matokeo mazuri. Nyambafu zenu. Kazi kutuumbia magonjwa ya moyo.
 
Mojawapo ya madudu ni kumruhusu Kessy kuichezea Yanga wakati bado ana mkataba na simba
 
Simba wana kikundi kidogo cha viongozi wahuni hao ndo wanatualibia soka letu LA Tzee ,Eti Leo wanadiriki kusema watamwaga mbonga sasa hayo madudu walikua wapi siku zote iwe Leo?Ifike kipindi Viongozi wa Mikia waache Siasa za kuwaongopea wanachama na mashabiki wao maana wamekua ni watu wa kupenda mkatomkato sana kuliko ukweli.Tunajua wanafanya kampeni za kumchafua Jamal Malinzi ila sisi wapenda soka tunaona jinsi Malinzi anavyojitahidi kulipeleka soka letu mbele
 
Kufungwa ni sehemu ya mchezo na ndio maana sisi baada ya kufungwa tumeludi nyumbani na kuanza kujipanga upya sio kuanza kulialia na kutaka points za mezani
 
Sijawahi kuupenda mpira wa bongo
yani soka limejaa figisu figisu za ajabu
af tukishabikia timu za ulaya tunambiwa sio wazalendo[emoji5]
mpira ulaya hata wasemeje tena el classico inakuja kesho kutwa tu
watuache tuenjoi mpira mzuri
 
Kama hupendi ni hivi washawishi wadau ili hii kanuni iondolewe au iseme hivi Isipokuwa Kwa club ya simba timu zingine zote zaweza kupewa pointi tatu za meza
 
Hakuna team hisiyofungwa kuna mtu UEFA alichezea mkono Jana MTU kala NNE ndo mpila huo sasa Uwanjani unashindwa unalazmisha za mezani kisa kimipangomipango mi nasema hao ndo wanaturudisha nyuma kwenye soka letu SIO Jamal Malinzi anayepigana kutuundia soka LA Vijana na wanawake wawe tegemeo LA kesho
 
Mpira wa bongo ni kama bongo movie tu, mie siku nyingi nilishaachaga kuangalia... bora kucheki mpira ya watu wanaojua sio siasa za kibongo
 
Swali kama simba wangeshinda wangedai waongezewe magoli?
 
sasa hao simba kama walizitaka sana hizo point 3 kwanini hawakushinda ile mechi? waache upuuzi wakusingizia kadi ili kupewa point za huruma, wathibitishe hiyo kadi ilitolewa mechi gani, mwamuzi alikua nani na ilitoka dakika ya ngapi sio kulialia!
Rejea Real Madrid kilichowakuta kwenye Kombe la Mfalme last se
Season. Kule Spain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…