Simba SC yakamilisha usajili wa beki wa dimba la kati Mohamed Ouattara raia wa Burkina Faso

Simba SC yakamilisha usajili wa beki wa dimba la kati Mohamed Ouattara raia wa Burkina Faso

Karibu unyamani Mohamed Ouattara

Beki Kitasa, Beki wa mpira ambaye umechagua sehemu ya viwango vya CAF
20220722_144748.jpg
 
Pale Kati kuna watu watazungushwa had wawe wanadondosha kamasi. Bigirimana lazima aongee siri zake zote.
Na ataongea zote za kufukuzwa kazi ktk kiwanda cha Bia.
Na venye mgonjwa wa Ini, atafia kwenye pitch.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naaam kumbe unalifuatilia vizuri soka, wakifika hao tutakuwa na kikosi kizuri sana msimu ujao.
Wee nalifuatilia soka mjubaaa, yaan wakiingia Okwaa na Manzoki.
Bas semi final CAF, hii hapa.

[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] 1 team, 1 dream.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji833][emoji833][emoji833][emoji833][emoji833]
 
Jifunze kufuatulia kwanza kabla haujaamua kuropoka.
Timu zote hutangaza bei ya kununulia. Mane, Aziz Ki, Haaland, Sterling, nk. Ulisha ona wapi free product ikawa na signing fee?[emoji1787][emoji1787]🥱
Haya tuambie mmelipa nani na shs ngapi
 
Baraka Mpenja be like "Mo Dewji, Mo Hussein, Mo Ouattara .... makolo hongera kwenu
 
Baraka Mpenja be like "Mo Dewji, Mo Hussein, Mo Ouattara .... makolo hongera kwenu
Vipi??

Da Aziza anaendeleaje?
Da Joy nae?
Shangazii figirimania??

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16584304259262975.jpg
 
Hapa tumepigwa simba wenzangu huyu jamaa ni uchochoro mkubwa sanaaa.
Aliwahi kujifunga magoli manne
 
Back
Top Bottom