Simba SC yakamilisha usajili wa beki wa dimba la kati Mohamed Ouattara raia wa Burkina Faso

Simba SC yakamilisha usajili wa beki wa dimba la kati Mohamed Ouattara raia wa Burkina Faso

Halafu sasa unaambiwa Sakho, Phiri, Chama na Okrah ni mabest hatari!!!
Halafu Akpan hacheki mazoezini..kazi kazi *****!!!! Mjinga anapania vibaya mno
Bado Okwaa na Manzoki wapo njianiiii.
Watu weuweeeeeeeeeh, [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nguvu 1
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Msimtimue tu kocha wenu. Maana NABI amefukuzisha makocha wawili.
 
Back
Top Bottom