[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo domo kama ashakum
Bado Okwaa na Manzoki wapo njianiiii.Halafu sasa unaambiwa Sakho, Phiri, Chama na Okrah ni mabest hatari!!!
Halafu Akpan hacheki mazoezini..kazi kazi *****!!!! Mjinga anapania vibaya mno
MUDA UKIFIKA TUTAITUMIAMbona hamzungumzi ile Kauli ya Mo amesusa ndo maana wanasajili wazawa akina Kyombo na Kapama
Au hamuitaki tena ile Kauli
Ulitaka atembee kwa mikono miguu juu? Nyani mnateseka sanaWA KAWAIDA SANA, Hana maajabu
SAWAUlitaka atembee kwa mikono miguu juu? Nyani mnateseka sana
Good boy.SAWA
Ni lizito, kugeuka mpaka msaada wa wheelbarrowNasikia ni pande la mtu Lukaku anasubiri.