Ndio ni muda MkuuIna maana ni muda maana kasema "I was no longer"ila ni kawaida akung'ute vumbi asonge mbele ye ni mkubwa kuliko simba
Soka la bongo ni kichomi!! Hata hawaeleweki hasa huwa wanataka nini! Hata wakupe malengo gani na ukayatimiza, basi tu, watakutimua, They hate somebody naturally!!!Mi ni simba ila naona wamekosea kumtimua kwa sababu timu haikuwa katika hali ya hatari.
Wako sahihi mkuu, matumizi ya benchi la ufundi la Simba SC ni makubwa sana ukilinganisha na mashindano waliyonayo kwa sasa.Mi ni simba ila naona wamekosea kumtimua kwa sababu timu haikuwa katika hali ya hatari.
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Simba na Yanga hakuna wa Kumcheka Mwenzie.Viongozi wake ni Makopo na Mifuniko
Mtaa wa sita mkuuTwitwer ndio wapi huko?