Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

Tulieni watani dawa iwangie,mwaka huu wenu kudadeki.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
uwaga najiuliza ivi izi timzetu zinatakaganini maana kila kukicha nisalakasi zisizo eleweka unamfukuza kocha bila sababu zamsingi eti rafiki nawachezaji sasa sijui walitaka wawe maadui ?sijui wange fanyeje kazi ili wachezaji wafanye kazi yako kiufasaa lazima utengeneze urafiki ili wajue hisia na mapenziyako nawajue nini malengo yako .simba wamepiga hatua1mbele nakurudi tatu nyuma bado ssfali nindefu .
Hili nalo limenishangaza mno
Angalia siku deo kanda anafunga goli alivyokwenda kumrukia kocha hii inaonyesha kocha alikuwa akimtia moyo
Na kocha anatakiwa awe karibu na wachezaji ili ajue matatizo yao
 
Na ulipomuondolea wachezaji 7 wa kikosi ulitaraji ajenge timu siku moja
Kweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
 
Ulipaswa uandike ' Bodi ya Wakurugenzi kupitia mtendaji mkuu wamenitaarifu kuwa mimi sio kocha mkuu tena wa Simba'!!!

Anyway, haya ni maamuzi ya kipuuzi kufanywa na uongozi wa Simba Sc dhidi ya kocha anaefanya vizuri katika ligi huku asilimia kubwa ya mashabiki na wanachama tukimkubali.

Nami natangaza NAACHA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI KUTAZAMA MECHI YOYOTE ILE YA SIMBA MSIMU HUU HATA AKICHEZA NA BARCELONA!!!!

STU.PID UONGOZI WOTE
Nawe ulipaswa uandike NAANZA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI....

au

NAACHA RASMI KWENDA UWANJANI.....

lakini sio

NAACHA RASMI KUTOKWENDA.......
 
Pamoja na akina Okwi na Niyonzima chini ya Aussems tulikuwa tunakula 5 kama tumesimama
Barcelona na Mess wao washawahi pigwa saba na Mabayern hapo je unasemaje? Hivi unadhani Okwi angekuwepo UD Songo wangepona? Zile nafasi za wazi alizokuwa anakosa huyo Deo Kanda unadhani Okwi angekosa.

Kocha kafuzu robo fainali msimu mmoja badala ya kumuongezea wachezaji wazuri ili arekebishe makosa yake msimu ujao afike hata fainali eti nyie mnaacha wachezaji wazuri mnaenda kununua wa Brazili, yes kocha anaweza kuwa na mapungufu wake ila Simba hawakumtendea haki.
 
Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!
 
Simba wamechelewa kufanya maamuzi wangeliweza kumpata Norman Mapeza aliyekuwa Coach wa F.C Platimum.. Huyu nadhani angewasaidia sana

Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!
Mkuu sijasema wabrazil wabaya ila wabrazili wale hawana kiwango cha Niyonzima, Okwi na Kotei yaani ni wakawaida tu.
 
Simba walileta dharau kule Msumbiji tukatolewa. Timu imekuwa haifanyi vizuri. Usajili umekuwa wa hovyo
 
Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!
Sijasema wabaya ila hawana kiwango cha Okwi, Niyonzima na Kotei.
 
Ulipaswa uandike ' Bodi ya Wakurugenzi kupitia mtendaji mkuu wamenitaarifu kuwa mimi sio kocha mkuu tena wa Simba'!!!

Anyway, haya ni maamuzi ya kipuuzi kufanywa na uongozi wa Simba Sc dhidi ya kocha anaefanya vizuri katika ligi huku asilimia kubwa ya mashabiki na wanachama tukimkubali.

Nami natangaza NAACHA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI KUTAZAMA MECHI YOYOTE ILE YA SIMBA MSIMU HUU HATA AKICHEZA NA BARCELONA!!!!

STU.PID UONGOZI WOTE
Wewe ndio mpuuzi,umeshindwa hata kuonyesha kivipi viongozi ni wapuuzi
 
Kweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
rmbu iangalie simba vizuri kunakitu utagundua uwekezaji walio ufanya safari hii niwakiuni unasajili viungo wegi tena wenye tamaduni moja yauchezaji unastraika mmoja
 
Yote hayo yaliombwa na huyo kocha uongozi ulichofanya ni kumtimizia tu ili asije lalamika aliomba mchezaji fulani hakupewa.
 
Nampongeza Sana CEO bwana senzo huu ukariakoo hatuutaki kabsa ubakie huko churani!
 
Back
Top Bottom