Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo limenishangaza mnouwaga najiuliza ivi izi timzetu zinatakaganini maana kila kukicha nisalakasi zisizo eleweka unamfukuza kocha bila sababu zamsingi eti rafiki nawachezaji sasa sijui walitaka wawe maadui ?sijui wange fanyeje kazi ili wachezaji wafanye kazi yako kiufasaa lazima utengeneze urafiki ili wajue hisia na mapenziyako nawajue nini malengo yako .simba wamepiga hatua1mbele nakurudi tatu nyuma bado ssfali nindefu .
Kweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
Nawe ulipaswa uandike NAANZA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI....Ulipaswa uandike ' Bodi ya Wakurugenzi kupitia mtendaji mkuu wamenitaarifu kuwa mimi sio kocha mkuu tena wa Simba'!!!
Anyway, haya ni maamuzi ya kipuuzi kufanywa na uongozi wa Simba Sc dhidi ya kocha anaefanya vizuri katika ligi huku asilimia kubwa ya mashabiki na wanachama tukimkubali.
Nami natangaza NAACHA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI KUTAZAMA MECHI YOYOTE ILE YA SIMBA MSIMU HUU HATA AKICHEZA NA BARCELONA!!!!
STU.PID UONGOZI WOTE
Barcelona na Mess wao washawahi pigwa saba na Mabayern hapo je unasemaje? Hivi unadhani Okwi angekuwepo UD Songo wangepona? Zile nafasi za wazi alizokuwa anakosa huyo Deo Kanda unadhani Okwi angekosa.Pamoja na akina Okwi na Niyonzima chini ya Aussems tulikuwa tunakula 5 kama tumesimama
Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!Barcelona na Mess wao washawahi pigwa saba na Mabayern hapo je unasemaje? Hivi unadhani Okwi angekuwepo UD Songo wangepona? Zile nafasi za wazi alizokuwa anakosa huyo Deo Kanda unadhani Okwi angekosa.
Kocha kafuzu robo fainali msimu mmoja badala ya kumuongezea wachezaji wazuri ili arekebishe makosa yake msimu ujao afike hata fainali eti nyie mnaacha wachezaji wazuri mnaenda kununua wa Brazili, yes kocha anaweza kuwa na mapungufu wake ila Simba hawakumtendea haki.
Mkuu sijasema wabrazil wabaya ila wabrazili wale hawana kiwango cha Niyonzima, Okwi na Kotei yaani ni wakawaida tu.Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!
Makocha wanaajiliwa ili wafukuzwe. Naamini atapata timu nyingine hivyo tunamtakia kila la heri katika Maisha yake.
Sijasema wabaya ila hawana kiwango cha Okwi, Niyonzima na Kotei.Wabrazil sio wachezaji wabaya unless kama una makengeza, angalia matokeo ya Simba walipocheza wabrazil. Mlipotolewa na UD Songo kuna Mbrazil alicheza, i guess not!
Wewe ndio mpuuzi,umeshindwa hata kuonyesha kivipi viongozi ni wapuuziUlipaswa uandike ' Bodi ya Wakurugenzi kupitia mtendaji mkuu wamenitaarifu kuwa mimi sio kocha mkuu tena wa Simba'!!!
Anyway, haya ni maamuzi ya kipuuzi kufanywa na uongozi wa Simba Sc dhidi ya kocha anaefanya vizuri katika ligi huku asilimia kubwa ya mashabiki na wanachama tukimkubali.
Nami natangaza NAACHA RASMI KUTOKWENDA UWANJANI KUTAZAMA MECHI YOYOTE ILE YA SIMBA MSIMU HUU HATA AKICHEZA NA BARCELONA!!!!
STU.PID UONGOZI WOTE
Upande wake au upande wa Yanga?maana yeye hana nenoUmesikia ya upande wake?
Upande wake Aussens. Kama hana neno au kabaki nayo moyoni yote ni mema tu.Upande wake au upande wa Yanga?maana yeye hana neno
rmbu iangalie simba vizuri kunakitu utagundua uwekezaji walio ufanya safari hii niwakiuni unasajili viungo wegi tena wenye tamaduni moja yauchezaji unastraika mmojaKweli watu tunatofautiana sana, hivi kwa uwekezaji ulofanyika Simba timu inaondolewa club bingwa round ya kwanza then mtetee huyo kocha? kwa uwekezaji huo mkubwa timu inapoteza mchezo dhidi ya wachezaji wanaohangaika kupata mlo mmoja kwa siku afu kocha asiwajibike? Upuuzi mtupu.
Yote hayo yaliombwa na huyo kocha uongozi ulichofanya ni kumtimizia tu ili asije lalamika aliomba mchezaji fulani hakupewa.rmbu iangalie simba vizuri kunakitu utagundua uwekezaji walio ufanya safari hii niwakiuni unasajili viungo wegi tena wenye tamaduni moja yauchezaji unastraika mmoja