Ndiyo la msingiUsikute noti hakuna
Umesikia ya upande wake?uchebe kazingua naye acha tu tuseme ule ukweli, kukosa majibu sahihi ya maswali aliyoulizwa lazima tumtilie mashaka.
Na uongozi umefanya maamuzi sahihi katika hili, nidhamu katika kazi ni jambo ambalo halipewi kipaumbele na watu wengi sana
Hapana, ila swali lako limenikumbusha jambo la msingi sana nimejikuta nimegundua kosa ambalo nimekua nikiwahasa wengine wasije kulifanyaUmesikia ya upande wake?
Hiki ndicho nilichokuwa nawaza.uchebe kazingua naye acha tu tuseme ule ukweli, kukosa majibu sahihi ya maswali aliyoulizwa lazima tumtilie mashaka.
Na uongozi umefanya maamuzi sahihi katika hili, nidhamu katika kazi ni jambo ambalo halipewi kipaumbele na watu wengi sana
Mbona una hukumu bila sababu, imerudi hatua moja nyuma kivipi?uwaga najiuliza ivi izi timzetu zinatakaganini maana kila kukicha nisalakasi zisizo eleweka unamfukuza kocha bila sababu zamsingi eti rafiki nawachezaji sasa sijui walitaka wawe maadui ?sijui wange fanyeje kazi ili wachezaji wafanye kazi yako kiufasaa lazima utengeneze urafiki ili wajue hisia na mapenziyako nawajue nini malengo yako .simba wamepiga hatua1mbele nakurudi tatu nyuma bado ssfali nindefu .
Pamoja na akina Okwi na Niyonzima chini ya Aussems tulikuwa tunakula 5 kama tumesimamaYaani hizi timu bwana! Wao wawaachie kina Okwi, Kotei, Niyonzina halafu wawalete wachezaji wao sijui kutoka wapi ambao wako chini ya kiwango leo kocha kawa mbaya.
Poor performance ya coach ndio iliyomuondoa, tayari keshapoteza point 4 muhimu wakati ligi bado mbichi kabisa. Unapoteza game na Mwadui, are you serious?uwaga najiuliza ivi izi timzetu zinatakaganini maana kila kukicha nisalakasi zisizo eleweka unamfukuza kocha bila sababu zamsingi eti rafiki nawachezaji sasa sijui walitaka wawe maadui ?sijui wange fanyeje kazi ili wachezaji wafanye kazi yako kiufasaa lazima utengeneze urafiki ili wajue hisia na mapenziyako nawajue nini malengo yako .simba wamepiga hatua1mbele nakurudi tatu nyuma bado ssfali nindefu .
Poor performance ya coach ndio iliyomuondoa, tayari keshapoteza point 4 muhimu wakati ligi bado mbichi kabisa. Unapoteza game na Mwadui, are you serious?
[/QUO
keshapoteza pt 5 mkuu