Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

Hongera Makolo mnajitahidi kuboresha team
Nataka muwe na team imara ili tushindane utani wa jadi udumu
Sihitaji muwe na team dhaifu kama mliyokuwa nayo
Hongera mtani makolo
Hiyo timu dhaifu ikakuweka 2 kimya,[emoji1787][emoji1787]
 
Hawa mashabiki wengine sjui ni wawapi??hata mimi huwa nashangaaga sana
 
Mbona kama Simba inasajiri wachezaji wa aina moja? Sidhani kama Simba ina tatizo la kiungo ushambuliaji
  • Saido
  • Chama
  • Kibu
  • Banda
  • Phiri
  • Sacko
  • Onana
  • Karmo
Chama
Saido

Mikataba yao inaisha na hawataongezewa tena

Banda ataachwa

Phiri atakuwa benchi
 
Nyie shusheni watu wenu sisi baadae
Tunashusha namba 6 hatari
 
Mbona kama Simba inasajiri wachezaji wa aina moja? Sidhani kama Simba ina tatizo la kiungo ushambuliaji
  • Saido
  • Chama
  • Kibu
  • Banda
  • Phiri
  • Sacko
  • Onana
  • Karmo
Ni kwa sababu msimu ujao tunataka tumalize na goli 100 katika ligi na huko CAF tuwe wamoto hatari.

Ila kwa mbaaaali una hoja, ningependa apatikane mtu atakayemweka benchi Zimbwe, maana ukiacha Onyango ule ndiyo udhaifu wa Simba ambao hakuna anayetaka kuushughulikia. Pia anahitajika mbadala imara wa Inonga maana cheza yake, ni rahisi kumkosa kwa majeruhi kwa mechi hata 6 za msimu.
 
Bado nasubiria usajili wa beki wa maana kwasababu ndilo tatizo kuu letu kwa msimu ulioisha
Bora hata wewe umesimama kwenye uhalisia. Tatizo kubwa la timu yenu msimu uliopita lilikuwa kwenye kiungo mkabaji, mlinda mlango wa kiwango cha juu (wa kumpa ushindani Aishi Manula), na pia beki mahiri wa kati wa kucheza na Inonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…