Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Hiyo timu dhaifu ikakuweka 2 kimya,[emoji1787][emoji1787]Hongera Makolo mnajitahidi kuboresha team
Nataka muwe na team imara ili tushindane utani wa jadi udumu
Sihitaji muwe na team dhaifu kama mliyokuwa nayo
Hongera mtani makolo