Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imemnasa kwa sh ngapiView attachment 2680946
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili...
Kwanini mkuu?Binafsi Nina MASHAKA sana NA usajili wa Simba
Kwanini mkuu?
Huyo mwamba (Kramo) ni winga hatari sana
Hivi kila kitu lazima ukisifie. Si usubiri aaze kucheza ndipo aonekane. Hayo ya Azizi K
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili.
Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10.
My Take
Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.
Huyu sijui kama hata anatazama games au anatembea na majina ya wachezaji tu. Hapo hakuna mchezaji wa kubaki hata mmoja. Wamepewa nafasi hakuna walichofanya. Wapo wachezaji wazuri humuhumu kuliko hao. Nimetazama UMISETA Mwanza kuna watoto wanaupiga kuliko hao kina Mkude1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.
Kwa hiyo waache kusajili kwa vile Ocrah ameshindwa kufanya vizuri?Hata okra magic aliposajiliwa Alikuwa hatari mno.
Baada ya Mechi tatu Chali.
We ndo ulkuwa hujui,angalia post yangu ya jana nmemuweka kabisa kwenye line up,na wengine utawaona hapo kama hujaskia tetesi badoHapa wamepiga chenga kali sana ya mwili.
Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu..
Uto mwaka huu watahara damu.
Na zile goli 3 alizofunga kwenye cafcc,alifungia msimu gani,bora ukae kimya tu kama hujui vituHajacheza msimu mzima [emoji16]
Tatizo beki???mkuu uko siriasi kweli,unajua simba ndio timu ambayo imefungwa magoli machache kwenye ligi,magoli 15 sawa sawa na yanga??Bado nasubiria usajili wa beki wa maana kwasababu ndilo tatizo kuu letu kwa msimu ulioisha
Bila kutaja Yanga, maisha yenu yanakuwa magumu sana..!! Yanga inawapa MUHAHOHapa wamepiga chenga kali sana ya mwili.
Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu..
Uto mwaka huu watahara damu.