Simba Sc yamnyatia Striker Mromania Daniel Iliuta Popa

Simba Sc yamnyatia Striker Mromania Daniel Iliuta Popa

Lokosa,chikwede,mduhwa ndio malengo yenyewe hayo [emoji3],yule mduhwa mliisajili kwa mbwembwe hata kwenye benchi hajawahi kuonekana
Maduhwa umuhimu wake ni changamoto kwa washambuliaji kama Mugalu,MK 14,Boco wakiwa mazoezini.
Mugalu,Boco au MK14 akiweza kumtoka Maduhwa wakiwa mazoezini basi akuna wa kuwazuia hawa washambuliaji wakiwa kwenye mechi.
Ndo maana msimu huu top 5 best score Simba wapo watatu,kazi ya Maduhwa hiyo[emoji115]
 
Wataachaje kusema kazi ya myama ni kuvunja rekodi tu na bado back 2 back yaani Minne tena
 
Huyu anatufaa, pesa tunayo, thamani yake ni TZS. 2.6bil. Hiyo tunalipa
Mchezaji kutoka Ulaya mwenye thamani ya Tsh.2.6bilion, maana yake ana thamani ya Euro 750,000! Are you serious brother?

Ebu Nenda kaone price tag ya Samir Nurkovic mwanandiga kutoka Ulaya anaekipiga pale kaizerchiefs
 
Mabingwa wa uchawi kwa nchi za maziwa makuu ni Congo yenye timu kama As Vita aliyepigwa kwao na kwa Mkapa.
Wa mwisho kwa uchawi nchi za SADC ni South Africa ya Mamelody aliyempiga Mazembe kwao Congo na kwa Madiba.
Sawa wazee wa ulaya
 
Sawa mkuu, but ni kutaka tu ufafanuzi.
humu hakuna uongozi wa Simba wa kutoa ufafanuzi. Ila.tunajaribu kutumia common sense tu kwamba management ya Simba na technical bench wanajua wanachokifanya, wanajua hitaji la kila usajili. Ukizingatia kwamba wana ndoto za kufika nusu fainali hivyo usajili muhimu kama huu lazima watakuwa wameshatimiza matakwa muhimu ya kucheza kimataifa
 
Back
Top Bottom