NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Maduhwa umuhimu wake ni changamoto kwa washambuliaji kama Mugalu,MK 14,Boco wakiwa mazoezini.Lokosa,chikwede,mduhwa ndio malengo yenyewe hayo [emoji3],yule mduhwa mliisajili kwa mbwembwe hata kwenye benchi hajawahi kuonekana
Mugalu,Boco au MK14 akiweza kumtoka Maduhwa wakiwa mazoezini basi akuna wa kuwazuia hawa washambuliaji wakiwa kwenye mechi.
Ndo maana msimu huu top 5 best score Simba wapo watatu,kazi ya Maduhwa hiyo[emoji115]