NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Maduhwa umuhimu wake ni changamoto kwa washambuliaji kama Mugalu,MK 14,Boco wakiwa mazoezini.Lokosa,chikwede,mduhwa ndio malengo yenyewe hayo [emoji3],yule mduhwa mliisajili kwa mbwembwe hata kwenye benchi hajawahi kuonekana
Ok, lakin majina ya wachezaji wa michuano ya kimataifa yameshapelekwa. sasa huyo ni kwa ajil ya ligi kuu au?View attachment 1889977
View attachment 1889978
Klabu ya Simba SC [emoji881] imefikia makubaliano ya Usajili na mshambuliaji wa kimataifa wa Romania Daniel Iliuta Popa [emoji1205] mwenye miaka 26.
Mnasajili mtamuacha nani coz mpaka sasa mna wachezaji 11 wa kigeni hapo iwapo kama luis amuuzi mtakua na 12kwa hiyo waache kusajili kwa sababu Mduhwa hakuonekana bench. akili zingine bana
Huyu anatufaa, pesa tunayo, thamani yake ni TZS. 2.6bil. Hiyo tunalipaHakuna mchezaji hapo, jamaa yupo nje ya uwanja Kwa majeruhi ya muda mrefu sana
Mchezaji kutoka Ulaya mwenye thamani ya Tsh.2.6bilion, maana yake ana thamani ya Euro 750,000! Are you serious brother?Huyu anatufaa, pesa tunayo, thamani yake ni TZS. 2.6bil. Hiyo tunalipa
Sawa wazee wa ulayaMabingwa wa uchawi kwa nchi za maziwa makuu ni Congo yenye timu kama As Vita aliyepigwa kwao na kwa Mkapa.
Wa mwisho kwa uchawi nchi za SADC ni South Africa ya Mamelody aliyempiga Mazembe kwao Congo na kwa Madiba.
Mkuu acha kuuliza maswali ya kitoto JFMnasajili mtamuacha nani coz mpaka sasa mna wachezaji 11 wa kigeni hapo iwapo kama luis amuuzi mtakua na 12
alikwambia jina halijapelekwa ni naniOk, lakin majina ya wachezaji wa michuano ya kimataifa yameshapelekwa. sasa huyo ni kwa ajil ya ligi kuu au?
😂 sie tunawasubiria mmuache kagere ili mpate nafasi ya kusajiliMkuu acha kuuliza maswali ya kitoto JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..Hakuna mchezaji hapo, jamaa yupo nje ya uwanja Kwa majeruhi ya muda mrefu sana
Sawa mkuu, but ni kutaka tu ufafanuzi.alikwambia jina halijapelekwa ni nani
humu hakuna uongozi wa Simba wa kutoa ufafanuzi. Ila.tunajaribu kutumia common sense tu kwamba management ya Simba na technical bench wanajua wanachokifanya, wanajua hitaji la kila usajili. Ukizingatia kwamba wana ndoto za kufika nusu fainali hivyo usajili muhimu kama huu lazima watakuwa wameshatimiza matakwa muhimu ya kucheza kimataifaSawa mkuu, but ni kutaka tu ufafanuzi.