Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Klabu ya Simba leo Mei 13, 2022, imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.

Simba imefikia maamuzi hayo baada ya pande zote mbili kukubaliana kwa lengo la kumpa nafasi Morrison kupumzika na kushughulikia mambo yake binafsi.

Klabu inamshukuru Bernard Morrison kwa mchango wake kwa kipindi chote alichohudumu na inamtakia kila la kheri Morrison katika mapumziko yake na safari yake ya soka hapo baadaye.
FB_IMG_1652440202931.jpg
 
Mjinga huyo mchezaji

Ila Nina mashaka sna kuhusu Manara, kuna siku alimsifia Sana Morrison nikasema kuliko aliesema Morrison'ni mchezaji Bora Sana ktk ligi yetu hphp nikawaza inakuwaje Manara kuja kumsifia mpuuzi huyu wkt hawahivu
 
Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.

Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
 
Klabu ya Simba imempa mapumziko hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.View attachment 2222885
Mnapomshukuru Benard Morrison kwa kuipatia simba mafanikio hayo kadhaa msisite pia kuishukuru Yanga ambayo ndiyo iliyomleta hapa nchini mkampora
...Makofi mengi kwa Yanga tafadhali....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom