Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Klabu ya Simba leo Mei 13, 2022, imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.
Simba imefikia maamuzi hayo baada ya pande zote mbili kukubaliana kwa lengo la kumpa nafasi Morrison kupumzika na kushughulikia mambo yake binafsi.
Klabu inamshukuru Bernard Morrison kwa mchango wake kwa kipindi chote alichohudumu na inamtakia kila la kheri Morrison katika mapumziko yake na safari yake ya soka hapo baadaye.