Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Hapa Morrison hapa Mayele...Nyuma faisal na Dr Aucho...winga tunasajiri majembe mawili hatariii na beki mmoja matata wa kushoto...kule kulia a asimama uncle djuma shabaan...pembeni pana Yannic, Bakari na Job
Hatariiii...
Hilo punguwani lilivyoondokaga kwa mbwembwe zote zile na matusi tele juu ya YANGA na washabiki wake walitaka tena hata bure [emoji848][emoji19]
 
Morrison kaingizwa chaka na mkude hajui mkude pale simba ana watu kama kufukuzwa wachezaji kwa ajili ya nidhamu basi mkude alitakiwa awe wa kwanza ila hakamatiki yule jamaa pole super bern sio makosa yako once said SIMBA IS A UNIVERSITY OF FOOTBALL IN TANZANIA.
 
Hivi inakuwaje mtu unakuwa hivi. Unapewa kipaji cha mchezaji bila akili na nidhamu
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu

Uamuzi huu sahihi kabisa, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa na matatizo ya kijinga.
 
lamda kama Morison mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka lakini kama ni simba imeamua kumuacha hapa tumekosea sana kumuachia Morison kisa nidhamu yake.
 
Amecheleweshwa sana, alitakiwa kuondoka siku nyingi, jamaa ana kipaji lakini bangi inazidi kipaji chake, bora apeleke hizo bangi utopolo watamshangilia.
 
lamda kama Morison mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka lakini kama ni simba imeamua kumuacha hapa tumekosea sana kumuachia Morison kisa nidhamu yake.
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu

Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
 
Mpira wa kibongo hauishi vituko ,kwa hiyo ni sawa na kusema yupo likizo.

Hii ndio inaitwa kikwetu kwetu.
 
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu

Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
easy weka mezani hasara club inazopata kutokana na nidhamu yake na faida club inazopata kutokana na mchango wake uwanjani .halafu ndio uje na uamuzi ,unamuacha au unaendelea kuwa naye.
 
Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.

Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
hapo kwa tau ni yule wa al ahl au tauc
 
Back
Top Bottom