Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Simba SC yampa mapumziko Bernard Morrison hadi mwisho wa msimu huu 2021/ 2022

Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.

Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Hamuwezi kumu afford Tau.
 
Sio huyo tu,kuna mmoja japo tushaacha utaratibu wa kupokea wachezaji airport lakini huyo tutaenda kumpokea anatokea afrika kaskazini huko,nyie endeleeni na ushubwanda wenu pira propaganda sie tunajipanga kwa msimu ujao na msimu ubingwa tunachukua,au sio Shadeeya
Uko sahihi Swahiba. Propaganda tumewaachia wao.
 
kwani mapato ya uwanja wa Mo Arena yamefikia wapi, mbona hatuoni updates..hebu muulize

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Shafiih Dauda, alimuuliza Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC na majibu yalikuwa hivi, taarifa kuhusu Uwanja itatolewa hivi karibuni..!

Msipende kupata shida kwa vitu rahisi yaani..!
 
Nashangaa wao mpaka leo hatuoni tamko rasmi kuhusu kuachwa kwa golia machachari na imara mwamba RAMADHANI KABWILI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo kabwili hawawezi kumtangaza wataaibika ,alikuwa analiwa na Tonombe ndo maana wakawaacha wote
 
Ndivyo ilivyo hivyo. Kama kwenye mapenzi tu, akitaka kukuacha anakwambia mpe break au anaomba space [emoji28][emoji28][emoji28]
Namwambia achukue AEROSPACE kabisa[emoji23][emoji1787]
 
Shafiih Dauda, alimuuliza Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC na majibu yalikuwa hivi, taarifa kuhusu Uwanja itatolewa hivi karibuni..!

Msipende kupata shida kwa vitu rahisi yaani..!
Hivi karibuni...okay
 
Hiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Maana yake ni kuwa amesimamishwa kuchezea Simba hadi mwisho wa msimu. Ukiisha msimu na Simba wakawa wanamhitaji na yeye akawa bado anaihitaji Simba, watakaa meza moja kuyajenga!!
 
Maana yake ni kuwa amesimamishwa kuchezea Simba hadi mwisho wa msimu. Ukiisha msimu na Simba wakawa wanamhitaji na yeye akawa bado anaihitaji Simba, watakaa meza moja kuyajenga!!
Hapo nimekupata vilivyo mkuu
 
Pole sana, Gomez alikuwa analipwa milioni 29 kwa mwezi. Muwe mnafatilia vyombo vya habari jamani.

Unajua mkurugenzi wa NHC au TANESCO analipwa milioni 30 na zaidi kwa mwezi? Na ni hapa hapa Tanzania? Ulimsikia JPM alivyotoa hiyo Siri?
Wee nae sijui wa wapi eti Magufuli alisema
Ndio hivo vi media vyenu uchwara vinawadanganya.
Ulishaona hiyo pay slip ake ina hiyo 30mil?
 
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu

Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
Unaandika utafikiri huyo morison angekaa hapo milele.alikuja na atapita kama wanavyopita wengine.nidhamu inatakiwa iwe kila sehemu.na Tanzania hatuna nidhamu yoyote ya maana zaidi yakujifanya ni watu wa maadili sana wakati kuna ubabaishaji kila mahali,na migogoro kibao hadi sehemu za kazi.kwahiyo kumsema morison nikama vile wengine waliobaki wote ni watakatifu kitu ambacho sio sahihi.Licha ya hivyo hao waliobaki kwenye club na nidhamu yao wamefanya jambo gani kubwa.Mambo mengine nikawaida sana kwa binadamu na maisha lazima yaendelee.
 
Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.

Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Haaaaahaaaaa eti Adebayor
 
Back
Top Bottom