Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kama wewe uliweza kula kinyesi cha kichaa kwanini wao washindwe kula matapishi yake?Uto sijui watayalamba matapishi yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe uliweza kula kinyesi cha kichaa kwanini wao washindwe kula matapishi yake?Uto sijui watayalamba matapishi yao?
Ndio mnalifahamu leo hilo?Hivi inakuwaje mtu unakuwa hivi. Unapewa kipaji bila akili na nidhamu
Kama CCM mlimrudisha Lowasa haitakuwa ajabu kwa Yanga.Huyu Morisson Yanga wakimrudisha na mpira wa Tanzania naacha kufatilia kabisa, utakuwa ni upumbavu wa kiwango cha juu
Nashangaa wao mpaka leo hatuoni tamko rasmi kuhusu kuachwa kwa golia machachari na imara mwamba RAMADHANI KABWILI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba awanaga konakona wananyoosha mambo direct.
kwani mapato ya uwanja wa Mo Arena yamefikia wapi, mbona hatuoni updates..hebu muulizeEti ujio wa Luis,Tau na Adebayor. Kwa hela hizi hizi za kupitisha bakuli kwa Wanachama?
Hamuwezi kumu afford Tau.Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Uko sahihi Swahiba. Propaganda tumewaachia wao.Sio huyo tu,kuna mmoja japo tushaacha utaratibu wa kupokea wachezaji airport lakini huyo tutaenda kumpokea anatokea afrika kaskazini huko,nyie endeleeni na ushubwanda wenu pira propaganda sie tunajipanga kwa msimu ujao na msimu ubingwa tunachukua,au sio Shadeeya
Tau yupi brother?Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Shafiih Dauda, alimuuliza Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC na majibu yalikuwa hivi, taarifa kuhusu Uwanja itatolewa hivi karibuni..!kwani mapato ya uwanja wa Mo Arena yamefikia wapi, mbona hatuoni updates..hebu muulize
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
huyo kabwili hawawezi kumtangaza wataaibika ,alikuwa analiwa na Tonombe ndo maana wakawaacha woteNashangaa wao mpaka leo hatuoni tamko rasmi kuhusu kuachwa kwa golia machachari na imara mwamba RAMADHANI KABWILI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namwambia achukue AEROSPACE kabisa[emoji23][emoji1787]Ndivyo ilivyo hivyo. Kama kwenye mapenzi tu, akitaka kukuacha anakwambia mpe break au anaomba space [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi karibuni...okayShafiih Dauda, alimuuliza Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC na majibu yalikuwa hivi, taarifa kuhusu Uwanja itatolewa hivi karibuni..!
Msipende kupata shida kwa vitu rahisi yaani..!
Labda MtikeSasa bila Morison itakuwaje? Nani ata cover nafasi yake na kwa kiwango kama chake?
Maana yake ni kuwa amesimamishwa kuchezea Simba hadi mwisho wa msimu. Ukiisha msimu na Simba wakawa wanamhitaji na yeye akawa bado anaihitaji Simba, watakaa meza moja kuyajenga!!Hiyo statement bado kwangu iko paradox sana, hilo pumziko alilopewa lina maanisha kukatishwa mkataba au ni vacation tu ambayo ikiisha atarejea tena?
Hapo nimekupata vilivyo mkuuMaana yake ni kuwa amesimamishwa kuchezea Simba hadi mwisho wa msimu. Ukiisha msimu na Simba wakawa wanamhitaji na yeye akawa bado anaihitaji Simba, watakaa meza moja kuyajenga!!
Wee nae sijui wa wapi eti Magufuli alisemaPole sana, Gomez alikuwa analipwa milioni 29 kwa mwezi. Muwe mnafatilia vyombo vya habari jamani.
Unajua mkurugenzi wa NHC au TANESCO analipwa milioni 30 na zaidi kwa mwezi? Na ni hapa hapa Tanzania? Ulimsikia JPM alivyotoa hiyo Siri?
Unaandika utafikiri huyo morison angekaa hapo milele.alikuja na atapita kama wanavyopita wengine.nidhamu inatakiwa iwe kila sehemu.na Tanzania hatuna nidhamu yoyote ya maana zaidi yakujifanya ni watu wa maadili sana wakati kuna ubabaishaji kila mahali,na migogoro kibao hadi sehemu za kazi.kwahiyo kumsema morison nikama vile wengine waliobaki wote ni watakatifu kitu ambacho sio sahihi.Licha ya hivyo hao waliobaki kwenye club na nidhamu yao wamefanya jambo gani kubwa.Mambo mengine nikawaida sana kwa binadamu na maisha lazima yaendelee.Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu
Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
Haaaaahaaaaa eti AdebayorKumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
Kama nyie tu mlivyolamba matapishi kwa chama na ajib na siku si nyingi mtalamba ya konde boiUto sijui watayalamba matapishi yao?