Mnapomshukuru Benard Morrison kwa kuipatia simba mafanikio hayo kadhaa msisite pia kuishukuru Yanga ambayo ndiyo iliyomleta hapa nchini mkamporaKlabu ya Simba imempa mapumziko hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.View attachment 2222885
Hii nayo ni chai. Hakuna mshahara huu hapa Tanzania.Milioni 17 kwa mwezi na bado anawaletea kiburi. ama kweli Tanzania ni shamba LA bibi.
Imetumika lugha ya kiuandamizi sana ila hapa ndio byebyeKlabu ya Simba imempa mapumziko hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.View attachment 2222885
Ukurusa ramsi wa BM3Klabu ya Simba imempa mapumziko hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.View attachment 2222885
Hapa Morrison hapa Mayele...Nyuma faisal na Dr Aucho...winga tunasajiri majembe mawili hatariii na beki mmoja matata wa kushoto...kule kulia a asimama uncle djuma shabaan...pembeni pana Yannic, Bakari na JobHaya uto wajibebee mchezaji wao kipenzi waliokuwa wanamlilia