OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hilo punguwani lilivyoondokaga kwa mbwembwe zote zile na matusi tele juu ya YANGA na washabiki wake walitaka tena hata bure [emoji848][emoji19]Hapa Morrison hapa Mayele...Nyuma faisal na Dr Aucho...winga tunasajiri majembe mawili hatariii na beki mmoja matata wa kushoto...kule kulia a asimama uncle djuma shabaan...pembeni pana Yannic, Bakari na Job
Hatariiii...
Hilo zigo ni lenu wenyewe MAKOLO [emoji1787]Uto sijui watayalamba matapishi yao?
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa KlabuHivi inakuwaje mtu unakuwa hivi. Unapewa kipaji cha mchezaji bila akili na nidhamu
kama mwanasimba mwenzako nakuambia hapa umekoseaAondoke tu ni mzigo kwa simba.
Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabulamda kama Morison mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka lakini kama ni simba imeamua kumuacha hapa tumekosea sana kumuachia Morison kisa nidhamu yake.
Upewe vyote we naniHivi inakuwaje mtu unakuwa hivi. Unapewa kipaji bila akili na nidhamu
"Lamda" ndio nini? Lugha gani ya wapi hiyo?lamda kama Morison mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka lakini kama ni simba imeamua kumuacha hapa tumekosea sana kumuachia Morison kisa nidhamu yake.
Hakuna mwenye vyote?Upewe vyote we nani
hee we mswahili wa wapi ,hujui maana ya neno lamda [emoji28]"Lamda" ndio nini? Lugha gani ya wapi hiyo?
easy weka mezani hasara club inazopata kutokana na nidhamu yake na faida club inazopata kutokana na mchango wake uwanjani .halafu ndio uje na uamuzi ,unamuacha au unaendelea kuwa naye.Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu
Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
Mudi bahili sana hawezi lipa mshahara huoMillion 17 😊 kama ni kweli basi mwekezaji apewe sifa zote
Ndo nini?hee we mswahili wa wapi ,hujui maana ya neno lamda [emoji28]
HakunaHakuna mwenye vyote?
hapo kwa tau ni yule wa al ahl au taucKumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo