Uonevu mbona mkude mtukutu miaka tu inakata?Kipaji cha mchezaji bila nidhamu na jududi ni hasara kwa Klabu
Na usidhani kuwa Klabu imekurupuka tu, huwezi kujua nidhamu mbaya yake kunaigharimu vipi Klabu, ndo maana ameshasimamishwa na kuonywa sana, mchezaji hawezi kucheza game 5 mfululizo bila ya kuwa matatizo uliona wapi hiyo...!?
Acha kukaza shingo hakuna hilo neno kwenye kamusi ya kiswahili ni "labda"hee we mswahili wa wapi ,hujui maana ya neno lamda [emoji28]
Yanga alikua hana ujinga huo kabisaHuyo jamaa ni bonge la mchezaji. Narudia tena ni bonge la mchezaji. Ila kichwani kwake anajua mwenyewe kuna nini. Nidhamu mbovu ni hatari sana kwa timu. Nafikiri Simba wameona kuwa:-
1. Anaweza kuambukiza tabia yake mbaya kwa wachezaji wengine.
2. Akiadhibiwa na timu maana yake timu inapungiwa wachezaji hasa ikitokea kuwa wachezaji wanaocheza nafasi yake ni majeruhi au wana kadi.
3. Akifanya utovu wa nidhamu asipoadhibiwa maana yake mchezaji mwingine akifanya kosa kama lake hataadhibiwa mwisho wa siku timu nzima inakuwa na nidhamu mbovu.
4. Akifanya kosa asipoadhibiwa anapunguza morali kwa wenzake na kuona kuwa anapendelewa.
5. .......................................
Mkuu , Kwani hao unaowataja waliondoka simba baada ya kupelekana CAS ? Tuanzie hapo kwanza.Kama nyie tu mlivyolamba matapishi kwa chama na ajib na siku si nyingi mtalamba ya konde boi
Chama hajawahi kuwa kero simba wala kuwa na mgogoro wa kuifanya club imsoteeKama nyie tu mlivyolamba matapishi kwa chama na ajib na siku si nyingi mtalamba ya konde boi
Eti ni kama muvi vileLimeandika gazeti la michezo la Mwanaspoti kuhusu mchezaji Bernard MorrisonView attachment 2224042
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa kawakera na waoNamwambia achukue AEROSPACE kabisa[emoji23][emoji1787]
safari yake ya baadae inaweza kuwa ni Simba pia. Kwamba msimu ukiisha atarejea. Kwahiyo wanamtakia heri arejee kuendelea na majukumu. Tatizo hakuna anayejua makubaliano ya mezani waliongea nini."Na safari yake ya soka hapo baadae" sijaelewa hapa..
GSM anahusikaje?Kumbe GSM kashafanya yake tayari ndio maana Simba wameondoa kirusi mapema ndani ya kambi yao.
Ni maamuzi mazuri kwa Morson maana msimu ujao kaona hata benchi hatakuwepo Kutokana na ujio wa Luis, Tau na Adebayo
[emoji16][emoji16] ah mkuu polepole basiiAcha kukaza shingo hakuna hilo neno kwenye kamusi ya kiswahili ni "labda"
hakika bm3 atabaki kuwa mchezaji aliyejitengenezea historia ya pekee katika soka la bongo. anastahili kuzungumzwaLimeandika gazeti la michezo la Mwanaspoti kuhusu mchezaji Bernard MorrisonView attachment 2224042
Historia ya kuwa na Ban Afrika Kusini, kuvua bukta na kubaki na chupi kukimbiza mashabiki wa Uto, kutoroka kambini usiku, kuchagua baadhi ya game..!hakika bm3 atabaki kuwa mchezaji aliyejitengenezea historia ya pekee katika soka la bongo. anastahili kuzungumzwa
hakika mkuu.Historia ya kuwa na Ban Afrika Kusini, kuvua bukta na kubaki na chupi kukimbiza mashabiki wa Uto, kutoroka kambini usiku, kuchagua baadhi ya game..!
Kwa mchango wake Simba SC unatosha sana na kila la kheri aendako.
Simba awanaga konakona wananyoosha mambo direct.
Ame disco. [emoji23][emoji23][emoji23]Tulipiwaambia mnanunua matatizo mkamuita Wakili Msomi, au amenyang'anywa Digrii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee yule shost yupo sana palee, alisema akitoka atawalipua mazima.Nashangaa wao mpaka leo hatuoni tamko rasmi kuhusu kuachwa kwa golia machachari na imara mwamba RAMADHANI KABWILI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]