utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
manzoki atakaa nje ya uwanja miezi zaidi ya mitatu akiwa majeruhi, sasa unamsajili aje kuugulia simba?Manzoki wapi!
Mkuu hatupumui saiv mmeamua sisi utopolo maji tutaita maaa[emoji1787][emoji1787]Duuuh
Kwaio mkuu huyu Manzoki wa Zanzibar nayeye ni free agent km yule baleke na mwenzake sawadogo?Simba haina ela za kusajili mchezaji yyte wa maana zaidi ya free agent
Dua Saidi aliyekuwa kiboko wa utolopowanzenj hawajawah kung'aa simbaa
Sio hao tu mkuu, kuanzia Saido ntibazonkiza na hao wengine wote ni wachezaji wa Bure, viongozi wa Simba ni hopelessKwaio mkuu huyu Manzoki wa Zanzibar nayeye ni free agent km yule baleke na mwenzake sawadogo?
manzoki bado anauguza majeraha... sisi tunataka mtu wa kucheza leoManzoki wapi!
Pesa mkuu pesa hilo kwake ni moja ya ndoto zakeHuyu dogo angejua anakuja kaa benchi, angebaki