Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

Ameshindwa abdul swamad yule wa zanzibar atakuwa huyo yule fundi wa mpira kashindwa dogo ajipange maana hivi vilabu viwili kwa ulozi sio mchezo.
 
Acha porojo wewe. Mnatakiwa muwahoji viongozi wenu Manzoki Yuko wapi? Sio mnadanganywa kila usajili mwisho mnaletewa magarasa tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kundika hujui ‘Muwahoji ‘ ndio mdudu gani
 
Dogo akijifua kama akina Kapombe na Mohammed Hussein atakuwa mchezaji mzuri sana.
Ni mshambuliaji namba 9 wa kipaji kamili kabisa.
Tatizo wachezaji wazawa wakija Simba wanabweteka sana.
 
Back
Top Bottom