3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
nassor (chollo) saidwanzenj hawajawah kung'aa simbaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nassor (chollo) saidwanzenj hawajawah kung'aa simbaa
Future hiiHuyu dogo angejua anakuja kaa benchi, angebaki
magalasa hayookwa na akpan na yacouba inabidi wacheze leo wawabutue yanga
Kasajili wewe kama ni kazi rahisi unadhan ukikaa kwenye vijiwe vya wanzuki na gongo unavyodanganywa na hayo matapu tapu basi unajiweza chura kweliSio hao tu mkuu, kuanzia Saido ntibazonkiza na hao wengine wote ni wachezaji wa Bure, viongozi wa Simba ni hopeless
Damu changa safi sana SIMBA.. Mlezi na mkuza vipaji[emoji1752]View attachment 2483405
Klabu ya Simba tumekamilisha usajili wa Mshambuliaji Mohamed Mussa [emoji1241] (22) kutoka Malindi ya Zanzibar.
Damu changa safi sana SIMBA.. Mlezi na mkuza vipaji[emoji1752]View attachment 2483405
Klabu ya Simba tumekamilisha usajili wa Mshambuliaji Mohamed Mussa [emoji1241] (22) kutoka Malindi ya Zanzibar.
Umechanganyikiwa mtu mzima ovyo, mchezaji ana miaka 22 unasema damu changa. Umekula maharage ya wapi?Damu changa safi sana SIMBA.. Mlezi na mkuza vipaji[emoji1752]
Innocent Haule naye aling'ara sana Simba kwenye miaka ya themanini akitokea huko huko Zanzibar.Dua Saidi aliyekuwa kiboko wa utolopo
Malizia, ManzokiView attachment 2483405
Klabu ya Simba tumekamilisha usajili wa Mshambuliaji Mohamed Mussa [emoji1241] (22) kutoka Malindi ya Zanzibar.
Unaambiwa Huyo ni zaidi ya Manzoki wa Uganda.Eti manzoki wa Zanzibar [emoji1787][emoji1787] We utopolo og unawashwa sana na simba
Hata kibu ana damu changa piaDamu changa safi sana SIMBA.. Mlezi na mkuza vipaji[emoji1752]
Vipi Dua Saidwanzenj hawajawah kung'aa simbaa
Future yanyoko[emoji1][emoji1]Future hii
Acha porojo wewe. Mnatakiwa muwahoji viongozi wenu Manzoki Yuko wapi? Sio mnadanganywa kila usajili mwisho mnaletewa magarasa tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kasajili wewe kama ni kazi rahisi unadhan ukikaa kwenye vijiwe vya wanzuki na gongo unavyodanganywa na hayo matapu tapu basi unajiweza chura kweli
Tuna mpango wa kumsajili babakoWazee wa kusajili magarasa kama kawaida yao
Babangu ni Dejan mzungu sio mbaya mkimrudisha tena kikosiniTuna mpango wa kumsajili babako
Kambole ni wa maana ?Simba haina ela za kusajili mchezaji yyte wa maana zaidi ya free agent
Vp tenaDuuuh