Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

Kwanza wajiandae kitu gani na mpira wao wa papatu papatu wakati wanaenda kutiwa na Al Ahly....kn vitu vinashangaza kweli [emoji16]
 
Ahly hawa hawa waliopigwa na Vibonde wa Yanga yaani USM Alger?
Ahaa, kumbe USM Alger ni vibonde wa Yanga! Kwa hiyo Yanga ilibeba ubingwa wa shirikisho kumbe halafu hamsemi!
 
Kwahiyo wapumzike kuanzia tareh 5 mpaka tareh 20 bila kucheza mechi, hawa viongozi wanaokotwa wapi?
 
Simba wasikubali hii kukaa wiki 2 bila mechi wakati wenzao waarabu wanacheza mechi kila siku mwisho wa siku watapigwa 5 hapa kwa mkapa
 
Simba wasikubali hii kukaa wiki 2 bila mechi wakati wenzao waarabu wanacheza mechi kila siku mwisho wa siku watapigwa 5 hapa kwa mkapa
Utasemaje wasikubali wakati wao ndio wameomba?
 

Uwongo
 
Ligi ya Tanzani bado ina ile mentality ya shule za msingi za miaka ileee, ambapo kuna shule zenyeww zilikua Mwanafunzi au Mwalimu akifiwa, basi kwa darasa husika huwa ni mapumziko.
Timu zina Professional players wanaolipwa a lot of money lakini bado timu na Chama cha mpira wanakua primitive minds.
Wanasahau kwenye hiyo ligi na hizo timu kuna watu wame invest wakitarajia team appearance kwa mujibu wa ratiba ndiyo wao wanapata returns?
Nani amewekeza kwenye ligi na timu kwa ajili ya kuonekana kwenye mechi za vipolo?
Pumbavu kabisa.
 
Walioombwa ni TFF wanaolalamika ni Utopolo.
Yanga wenye akili ni waili tu. Wataje
1...............................................................................

2..............................................................................

Maneno hayo yalisemwa na mtu ambaye alikuwa mbumbumbu, na bado mbumbumbu wengine wanayanukuu.
 
Hakuna ubaya..kanuni si zinaruhusu?
 
Wanaomba mchezo uondolewe..? Mbona mm sielewi apa uondolewe au usogezwe mbele…? Naona kama singida wameitisha sana simba
 
Africa zipo timu zaidi ya 1000 imekuwaje Simba imeingia group stage bila kushinda? Hebu wewe uto fafanua.
Aya mbumbumbu em nitajie mechi mlioshinda... Nandiomana hamna furaha
 
Wewe siyo shabiki wa Simba. Hakuna shabiki wa Simba anaweza kuandika ukweli kama huu bila kutafuta sababu za kuegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…