Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Timu imeanza kua Timu lialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa, kumbe USM Alger ni vibonde wa Yanga! Kwa hiyo Yanga ilibeba ubingwa wa shirikisho kumbe halafu hamsemi!Ahly hawa hawa waliopigwa na Vibonde wa Yanga yaani USM Alger?
Simba wasikubali hii kukaa wiki 2 bila mechi wakati wenzao waarabu wanacheza mechi kila siku mwisho wa siku watapigwa 5 hapa kwa mkapaHivi hata kilichoitokea Simba juzi dhidi ya Power Dynamos bado kuna watu wanajiita watu wa mpira hawajagundua kilitokanana nini? No wonder kuna watu wazima na akili zao wanahojiwa wanasema eti Yanga katia mkono (kaloga) uwanja wa Azam na Simba isiutumie tena ule uwanja eti kuna nguvu za giza zilifanyika pale Azam Complex. Kwa ufupi kitendo cha kufanya mazoezi muda mrefu bila kupata mechi ngumu za ushindani hasa huwa kinadumaza akili na kukakamaza miili ya wachezaji. Ndio maana wachezaji wa Simba walikuwa wazito wa mwili, miili kukosa unyumbulifu na kushindwa kufanya maamuzi ya haraka wakawa wanabaki wanakaba kwa macho na hata wakiwa na mpira mguuni hawajui wafanye nini kwa haraka.
Ni sawa tu na mwanafunzi asome tu muda mrefu bila kufanya majaribio madogmadogo magumu (test) halafu unakuja kumpa mtihani baada ya muda mrefu hapo lazima afeli vibaya mno. Sitaki kuamini kuwa kwenye bodi ya Simba hakuna anayefahamu hili. Suala la wachezaji kukamiwa au kuvunjwa ni suala la kufikirika zaidi na ni wajibu wa viongozi kuitahadharisha TFF, bodi ya waamuzi, waamuzi wenye wa mchezo husika na kamisaa wa mchezo husika kabla ya mchezo iwapo kuna tetesi hizo. Na hata kama zipo mbona Simba ina kikosi kipana tu kwanza itasaidia kumsanua kocha wao Robertino kuwa kuna vipaji vinaozea benchini badala ya kukaa na wasaidizi wake wamekariri tu wachezaji wale wale hata mechi ndogo.
Kitendo cha Simba kucheza mechi mbili na hata tatu ngumu kabla ya kukutana na Al Ahaly kina faida zaidi kwa Simba kuliko hasara kwani kinajenga utimamu wa mwili na akili kwa wachezaji. Hasa ikizingatiwa Simba alivyocheza vibaya mechi na Power Dynamos Hii ilipaswa iwe " wake up call " kwa uongozi na benchi la ufundi na sio kukimbilia kuomba mechi zao ziahirishwe bali wangeomba mechi nyingine moja ngumu ya ligi..
Utasemaje wasikubali wakati wao ndio wameomba?Simba wasikubali hii kukaa wiki 2 bila mechi wakati wenzao waarabu wanacheza mechi kila siku mwisho wa siku watapigwa 5 hapa kwa mkapa
Najua huko kwa viongozi wa simba wengine wanataka siku 16 za maandalizi wengine hawazitakiUtasemaje wasikubali wakati wao ndio wameomba?
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.
"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"
"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu
[emoji2399] Imani Kajula Via Efm radio
Hata wakipewa mwezi mzima, kwa uchezaji huu wa simba watachapika tuHapana tunahitaji mechi fitness ya nguvu tucheze hizo game zote
Ligi ya Tanzani bado ina ile mentality ya shule za msingi za miaka ileee, ambapo kuna shule zenyeww zilikua Mwanafunzi au Mwalimu akifiwa, basi kwa darasa husika huwa ni mapumziko.CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.
"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"
"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu
©️ Imani Kajula Via Efm radio
Walioombwa ni TFF wanaolalamika ni Utopolo.
Yanga wenye akili ni waili tu. Wataje
1...............................................................................
2..............................................................................
Group stage bila kushinda mechi hata moja [emoji23][emoji23]Timu mbovu ipo group Stage. Acha bange kuvutia chooni.
Africa zipo timu zaidi ya 1000 imekuwaje Simba imeingia group stage bila kushinda? Hebu wewe uto fafanua.Group stage bila kushinda mechi hata moja [emoji23][emoji23]
Hakuna ubaya..kanuni si zinaruhusu?CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.
"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"
"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu
©️ Imani Kajula Via Efm radio
Inaendaje bila kushinda?Group stage bila kushinda mechi hata moja [emoji23][emoji23]
Aya mbumbumbu em nitajie mechi mlioshinda... Nandiomana hamna furahaAfrica zipo timu zaidi ya 1000 imekuwaje Simba imeingia group stage bila kushinda? Hebu wewe uto fafanua.
Wewe siyo shabiki wa Simba. Hakuna shabiki wa Simba anaweza kuandika ukweli kama huu bila kutafuta sababu za kuegemea.Hivi hata kilichoitokea Simba juzi dhidi ya Power Dynamos bado kuna watu wanajiita watu wa mpira hawajagundua kilitokanana nini? No wonder kuna watu wazima na akili zao wanahojiwa wanasema eti Yanga katia mkono (kaloga) uwanja wa Azam na Simba isiutumie tena ule uwanja eti kuna nguvu za giza zilifanyika pale Azam Complex. Kwa ufupi kitendo cha kufanya mazoezi muda mrefu bila kupata mechi ngumu za ushindani hasa huwa kinadumaza akili na kukakamaza miili ya wachezaji. Ndio maana wachezaji wa Simba walikuwa wazito wa mwili, miili kukosa unyumbulifu na kushindwa kufanya maamuzi ya haraka wakawa wanabaki wanakaba kwa macho na hata wakiwa na mpira mguuni hawajui wafanye nini kwa haraka.