Simba Sc yaongoza kutazamwa Afrika

Umeelewa kweli mkuu kilichoandikwa na CAF!?? Au ndio ubishii jadii yako!??[emoji119]
 
Wanataman wawe ndo sisi ila ndo haiwezekan...wabakie na kikundi chao cha ngoma ambapo kila kikicheza wanazawadiwa ng'ombe
 
Mwisho wa siku bingwa alikua nani?
 
Maneno bila uthibitisho ni umbea, Naona mmeamua kuitafuta furaaha kwa nguvu.
 
Kwa Azam media ilishindikana. Sportpesa wanajua ukubwa wa Yanga. Utaona kitakachotokea.
Mapato ya uwanjani tu mlizidiwa last season
Tunazungumzia Afrika baba, bado tu upo na mapato ya mlangoni ? 🤣🤣🤣
 
May 2016

Ila mechi hii ya 2016 ilinishangaza jinsi Yanga walivyocheza kama vile ni timu ya kutoka ulaya.

Sijui ni nini timu za Tanzania zinashindwa kuwa na muendelezo wa soka la kiwango cha juu kila msimu.

YANGA VS AL AHLY CAF CHAMPIONS SEC LEAGUE 2016




Source : Thabani Scara Kamusoko
 
Waeleweshe mbumbumbu wenzako
This is beyond UYANGA.

Basi tufanye hivi, huyo Sakho hata goli huko kwenye mashindano ya CAF hajawahi kufunga.

Tuwasamehe mashabiki wa Simba kwa uongo wanaotulisha.

Aliyefunga ni Fiston Kalala Mayele, assist ilikua ni ya Saido Antibiotic Ntibazonkiza, pre-assist ya Khalid Daktari wa Mpira Aucho.

Nadhani hapo mkuu itakua imekaa sawa.

NB: Kila la heri mtani katika pambano lako la leo dhidi ya KMC.
 
Mimi nimenyanyasika sana na hawa mabingwa Simba.Sikubali.Naileta timu yangu ya Lipuli Wanapaluhengo.Ifwa munu bee!
 
Kwa takwimu hizi hivi kuna hoja ya viluilui (Yanga) kushiriki mashindano ya kimataifa kweli? Haijawahi fanya vizuri kimataifa hata siku moja.
 
Azam walisema yanga ndio ilitazamwa mara nyingi ili wawape simba pesa kidogo za haki ya matangazo simba wakashtukia janja janja Yao
 
Sifa za kijinga hamna faida yoyote unayopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…