Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

Hayq mqneno ndo huwa yanawafanya munasusa thread
 
Mwishoni mwa msimu unaokuja tunamuuza Kibu Ulaya
 
Wewe nae michezo ya kirafiki si huwa ni mazoezi tu?

Hata huo uwanja wenyewe unaonesha ni wa mazoezi tu.

Nakumbuka Yanga na Simba za
miaka ya 70s zilikuwa zinakwenda Brazil na nchi zingine za Ulaya kwa michezo ya kirafiki. Tena kwa wafadhili ilikuwa kwa mapenzi tu ya mchezo siyo siku hizi kwa kipato.

Sasa jamani mpira umekuwa Tanzania au umeshuka?
 
Wewe waonaje umeshuka ama umepanda?
 
View attachment 2700476

Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs

Nguvu Moja
Huyu bocco kuna kitu anataka kutuaminisha halaf ligi ikianza tuanze kutafta wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…