Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 855
- 591
Haki gani ndugu? Kagera si waliwafunga ndani ya dakika 90? Au walichezesha mchezaji asiekuwa wao? Au yule mchezaji asingecheza ndio simba wangeshinda? Tuache madai ya kipuuzi yanayoweza kurudisha nyuma soka letu!!Kama vip simba tundikeni daluga. Hawawezi kutunyang'anya haki yetu hiv hiv chaaa.